Wednesday 16 January 2019
Home      All news      Contact us     
soka25east - 4 days ago

Rais wa soka nchini Nigeria kushtakiwa

Tume ya kupambana na ufisadi nchini Nigeria imesema, itawafungulia kesi ya ufisadi, viongozi wakuu wa soka nchini humo. Mkuu wa tume hiyo, Obono-Obla amesema tume hiyo ina ushahidi wa kutosha dhidi ya viongozi wa soka nchini humo wakiongozwa na rais wa NFF ambaye pia ni naibu raia wa Shrikisho la soka barani Afrika, Amaju Pinnick, [ ] The post Rais wa soka nchini Nigeria kushtakiwa appeared first on Soka25east.

Related news

Latest News
Hashtags:   

nchini

 | 

Nigeria

 | 

kushtakiwa

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources